GET /api/v0.1/hansard/entries/800299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 800299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800299/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika. Kwa hivyo, ninasema kwamba maswala yale ambayo yanawakumba ndungu zetu wanaoishi katika vitongoji duni ni maswala ambayo lazima tuyaangalie na tuhakikishe Sheria imetumika sawa sawa katika sehemu zote za Jamhuri ya Kenya. Tumeona kwamba maswala ya ubakaji katika maeneo yale ni maswala ya kawaida. Mimba zisizopangwa na uwaviaji mimba kiholela ni mambo ambayo yanatokea The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}