GET /api/v0.1/hansard/entries/800318/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 800318,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800318/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nina hoja ya nidhamu. Umempongeza Sen. Kinyua kwa kutumia misemo ya Kiswahili lakini ile aliyomalizia sio msemo wa Kiswahili. Ni msemo wa Kiingereza ambao ametafsiri na akasema ni Mswahili alisema. Naomba atueleze ni Mswahili yupi aliyesema ama Wahenga walionena kwa sababu hiyo ni kwa Kiingereza wanasema; prevention is better than cure wala sio ni bora kuzuia kuliko kutibu."
}