GET /api/v0.1/hansard/entries/800320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 800320,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800320/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ni vizuri nimweleze Seneta wa Kaunti ya Nairobi ya kwamba haya yalisemwa na Mswahili wa kutoka Mlima, pale Unguja. Aliyesema vizuri kabisa. Ni vizuri aviangalie vitabu vyake vya Kiswahili. Ataona hivyo."
}