GET /api/v0.1/hansard/entries/800353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 800353,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800353/?format=api",
    "text_counter": 173,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Khaniri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 171,
        "legal_name": "George Munyasa Khaniri",
        "slug": "george-khaniri"
    },
    "content": "Nimeambiwa preparedness ni matayarisho. Kamati hiyo lazima iangalie matayarisho ambayo serikali zetu zote mbili, yani serikali za kaunti na Serikali ya kitaifa, zitaweka ili kukabiliana na majanga kama hayo yanapotokea. Mara nyingi majanga kama hayo yanapotokea katika taifa letu, watu ninaoona ni maafisa wa Shirika la Msalaba Mwekundu. Wao huwa watu wa manufaa sana katika nchi hii majanga yanapotukumba kama taifa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}