GET /api/v0.1/hansard/entries/800917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 800917,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800917/?format=api",
"text_counter": 129,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii niongeze sauti yangu kama wenzangu walio tangulia kuzungumza juu ya suala la Hotuba ya Mhe. Rais aliyohutubu hapa Bungeni na nchi nzima. Ukweli ni kwamba suala hilo lipo ndani ya Katiba. Alikuja kuhakikisha kuwa amewakilisha Hotuba hiyo ambayo ni muhimu kulingana na Katiba yetu. Tunatarajia kila wakati tukifungua Bunge jipya, Mhe.Raisa atahutubia nchi."
}