GET /api/v0.1/hansard/entries/800922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 800922,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800922/?format=api",
    "text_counter": 134,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Nampea pongezi na hongera zangu Mhe. Rais kwa sababu sasa hivi tumepata habari kuwa akina mama wawili, Binti Kanze Dena pamoja na Munira Mohamed wamepatiwa kazi kwenye cheo cha juu. Binti Kanze Dena amechaguliwa kuwa naibu mzungumzaji mkuu wa Mhe. Rais. Nawapongeza na kumpa hongera Mhe. Rais. Asante sana kwa kutupatia nafasi hiyo kama akina mama tuweze kufanya kazi hizo."
}