GET /api/v0.1/hansard/entries/801220/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 801220,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801220/?format=api",
"text_counter": 132,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Kama wenzangu walivyotangulia kusema, jambo hili lifanywe na amelianza vizuri lakini watu wengine wasilitumie kama njia ya kuwaondoa wenzao kazini ama kuumizana kikazi ama kwa kulipana kisasi. Tunaomba kuwa suala hilo lifuatiliwe kabisa kwa kihakika na kila mtu apate haki yake. Lakini wale ambao watakaopatwa wamefuja pesa za umma, haswa wenye The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}