GET /api/v0.1/hansard/entries/801304/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 801304,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801304/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. King’ara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13468,
"legal_name": "Simon Nganga Kingara",
"slug": "simon-nganga-kingara-2"
},
"content": "Lingine la kuvutia ni wakati kiongozi wa nchi aligusia pendekezo la viongozi kuunga mkono ugatuzi. Nchi yetu imeenda njia ya ugatuzi. Nakumbuka alisema ya kwamba kiwango kikubwa cha pesa cha Ksh372milioni kilitengwa cha kuleta usawa kwa ugatuzi katika kaunti ambazo zimewachwa nyuma. Hilo ni jambo la kuonyesha kwamba kiongozi wa nchi anapenda Kenya iendelee katika maeneo yote."
}