GET /api/v0.1/hansard/entries/801306/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 801306,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801306/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. King’ara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "Nakumbuka kiongozi wa nchi aliongea juu ya barabara. Alitaja kuwa Serikali imetenga kiwango cha pesa cha kutengeneza kilomita 10,000 ya barabara. Alisimama mbele yetu akasema tayari wamekamilisha kilomita 3,000. La kuvutia ni wakati aliongea juu ya barabara kutoka Isiolo na kuunganisha nchi yetu na Ethiopia. Kama vile mwenzangu, Mhe. Jonah Mburu, kutoka Lari ametaja, kuna umuhimu mkuu wa kuona nchi ya Kenya inaungana na maeneo mengine ya Africa ndiyo maendeleo, hasa ya biashara na uchumi, yaweze kuenea na kuchukua nafasi iliyochukuliwa na ulimwengu wote."
}