GET /api/v0.1/hansard/entries/801359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 801359,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801359/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Tandaza",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13287,
        "legal_name": "Kassim Sawa Tandaza",
        "slug": "kassim-sawa-tandaza"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia Hotuba ya Mheshimiwa Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Kenya. Kwanza, lazima nishukuru Maulana. Pili niangazie yale aliyoyazungumzia, ikiwa mojawapo ni lile suala la kusalimiana ambalo limewezesha nchi hii, kama wenzangu walionitangulia walivyosema, kuwa na amani na mioyo kutulia. Lakini mikono hiyo isiwe tu ni ya watu wawili kwa sababu ukweli ni kwamba tukienda nyanjani, hasa kwetu sisi wanasiasa… The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}