GET /api/v0.1/hansard/entries/801466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 801466,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801466/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "June 7, 2018 SENATE DEBATES 14 Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ahsante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Sen. Chebeni. Ninachukuwa fursa hii kumshukuru Sen. Chebeni kwa Mswada wake ambao umekuja katika wakati muafaka. Inaonekana kuna mmomonyoko wa maadili katika nchi yetu, ndio maana wanaume wanatembeatembea wakinajisi watoto wa shule---"
}