GET /api/v0.1/hansard/entries/801469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 801469,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801469/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Malala",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13195,
        "legal_name": "Cleophas Wakhungu Malalah",
        "slug": "cleophas-wakhungu-malalah-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa muda, nasimama kwa hoja ya nidhamu. Tunajua vizuri sana kwamba zile Kanuni za Kuongoza Mijadala Bungeni zinasema kwamba tusichanganye lugha. Mwenzangu ameanza kwa kutohoa jina la Mwenyekiti kwa kusema “Speaker.” Ningependa abaki katika ile lugha moja; kama atachagua Kiswahili, basi abaki pale; na kama ni Kimombo vilevile abaki na kimombo bila ya kutohoa. Asante, Bi. Spika wa muda."
}