GET /api/v0.1/hansard/entries/801480/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 801480,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801480/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Sen. Wario. Nilikuwa nimesema “Bi. Spika.” Inaonekana kwamba katika Jamhuri yetu ya Kenya, kuna mmomonyoko wa maadili. Ndipo unapata kwamba watu wako na nguvu za kwenda mpaka kuvamia shule na kuwanajisi wanafunzi wa kike katika bweni lao wakati wamelala. Hivi majuzi pia tumeona katika vyombo vya habari watoto wadogo wadogo wananajisiana na kulawitiana wenyewe kwa wenyewe. Hilo linamaanisha kwamba kuna mmomonyoko wa maadili. Wizara Ya Elimu inapaswa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}