GET /api/v0.1/hansard/entries/801482/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 801482,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801482/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ilichunguze jambo hili kwa sababau hatuwezi kuwa na watu ambao wako na tabia mbovu mbovu kama hizo. Kwa hivyo, Bi. Spika wa Muda, namshukuru Seneta Bi. Chebeni kwa kuleta Hoja huu. Naiomba Serikali itilie nguvu na itilie mkazo suala hili, kwa sababu hatuwezi kuwapeleka watoto shuleni kusoma ilhali wananajisiwa usiku bila usalama. Asante, Bi. Spika wa Muda."
}