GET /api/v0.1/hansard/entries/802880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 802880,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/802880/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, ningependa kuongea kidogo kuhusu kauli ambayo Sen. Faki ametoa. Hivi karibuni, tabia ya polisi imekuwa ya kusikitisha sana, haswa ukizingatia ya kwamba wanapigana na majambazi. Katika maeneo ya Pwani, vijana wengi sana wamekuwa wakishikwa na kuitishwa vitambulisho. Akiwa nacho, anaamrishwa aingie ndani ya gari, kisha aende kujibu mashtaka mbele. Yule asiyekuwa na kitambulisho atapona tu akitoa Ksh200 au Ksh300 ili aweze kupata uhuru wake. Tunaona tabia kama hizi zinaanza kuingia katika polisi wetu hapa Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}