GET /api/v0.1/hansard/entries/803009/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 803009,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/803009/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, niko na matumaini kwamba Mswada huu, tulivyo utengeneza, utaweza kumsaidia mfanyikazi wa serikali za mashinani kupata pesa zake akistaafu haraka iwezekanavyo ili aweze kujikimu kimaisha pamoja na familia yake ama bibi yake. Mara nyingi, watoto wanaondoka nyumbani na munabaki wawili, kama mulivyoanza. Kwa hiyo, niko na hakika kwamba Mswada huu utawasaidia wafanyikazi wakistaafu. Bw. Naibu Spika, nataka kuwashukuru washikadau. Kile kilicho tufanya tukose kupitisha Mswada huu muhula uliopita nikwamba washikadau wenyewe walikuwa na"
}