GET /api/v0.1/hansard/entries/806995/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 806995,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806995/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Lisianzishwe kwingine na Lamu iwe ya mwisho. Sisi watu wa Lamu husahaulika wakati miradi mingi inaanza tunakuwa wa mwisho. Naomba lianzishwe kwenye kaunti zote ili sote tusaidike. Matatizo mengi yatapungua especially upande wa akina mama. Tuna kipato kidogo cha kusaidia youth na tuko tayari kujitolea na kushirikiana na jambo kama hili ili youth wetu wasaidike. Kama mwenzangu ambaye alinitangulia amesema, hili jambo litaleta upendo na kusaidia watu kufanya exercise . Tunajua magonjwa mengine husababishwa na watu kutofanya"
}