GET /api/v0.1/hansard/entries/807002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 807002,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/807002/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, nimepotelewa na ulimi na kukosea. Asante kwa kunirekebisha. Nimechagua Kiswahili. Msinitoe mbali na hii Hoja kwa sababu ni nzuri. Ni vizuri sote tukichangia tujiangalie ili tusipelekane kwa mambo madogo. Hili ni jambo la maana na tunaomba litiwe mkazo. Vijana wetu wanatuangalia na kutamani sana. Wengine wanatuma message kwa simu kwamba tuchangie hii Hoja kwa sababu wamegonjea, na ilikuwa ije hapo awali. Saa hizi walikuwa wanatarajia iwe imefika mashinani. Kwa hivyo, tuharakishe ili ifike mashinani wanangojea kwa hamu sana."
}