GET /api/v0.1/hansard/entries/80854/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 80854,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/80854/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ethuro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 158,
        "legal_name": "Ekwee David Ethuro",
        "slug": "ekwee-ethuro"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu wa Spika. Umemsikia mhe. Kutuny akidai kuwa waheshimiwa Mawaziri hawajui Lugha ya Kiswahili. Yeye mwenyewe alisema “ameinuka” badala ya “kuamka” kuuliza Swali lake."
}