GET /api/v0.1/hansard/entries/80855/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 80855,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/80855/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, mwenzangu anajaribu kuwa mkereketwa lakini nitamfundisha lugha yeye. Neno “kuamka” linamaanisha ni kama ulikuwa umeshikwa na lepe la usingizi halafu baadaye unaamka. Nalo neno “kuinuka” linamaanisha ulikuwa umeketi na sasa unainuka. Kwa hivyo, mimi niliinuka kuuliza Swali langu. Niko tayari kumfundisha mheshimiwa mwezangu lugha hii."
}