GET /api/v0.1/hansard/entries/80858/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 80858,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/80858/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Mr. Kamama): Hoja ya nidhamu Bw. Naibu wa Spika. Umemsikia mhe. Kutuny akidai hapa kuwa Mawaziri wengi hawaelewi Lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Ningependa kumjulisha ya kwamba Mawaziri wanaifahamu Lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Kwa hivyo, madai yake si ya kweli kwa sababu sisi tunafahamu lugha hii vizuri sana. ."
}