GET /api/v0.1/hansard/entries/810250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 810250,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/810250/?format=api",
"text_counter": 644,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii nichangie kwa kuondolewa kwa kipengele cha 6 katika maamuzi ambayo tulikuja nayo. Sababu yetu kama Kamati kuchukua msimamo huo, ilikuwa ni tulipowaita EACC kuwauliza maswali kuhusu swala hili walituambia kuwa kwa sababu ni suala ambalo lina umuhimu, ni lazima masuala mengine yafichwe."
}