GET /api/v0.1/hansard/entries/811493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 811493,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/811493/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, sasa tumeambiwa kwamba kutajengwa Express Highway, ambayo itakuwa na barabara sita; tatu kila upande. Kama itakuwa hivyo, inamaanisha kwamba tutapoteza pesa kujenga barabara hiyo ilhali magari mengi hayataitumia. Jambo la pili la kusikitisha ni kwamba hivi majuzi katika Mji wa Mombasa mpaka Kilifi na upande wa Kwale, Kenya National Highways Authority (KeNHA) waliingia barabarani na kuvunja biashara na majumba ya watu. Mengi ya majumba yale hayakuwa kwenye barabara ama road reserves . Hizi ni sehemu ambazo walidhani ni"
}