GET /api/v0.1/hansard/entries/811649/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 811649,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/811649/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika, ningetaka kuendelea na maoni yangu kuhusu aliyoyanena Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni. Tulikotoka, waliotuchagua wanaangalia yale yote ambayo tunanena katika Bunge hili. Haitakuwa jambo la busara kwetu sisi kuamka alfajiri kuja hapa tu kuzungumza maneno ambayo hayatafika pahali popote. Nikitamatisha, nimesalimu amri yako na nimeomba msamaha kwa yale niliyoyanena. Lakini, waweza kumtoa mtu katika soko lakini huwezi kutoa “soko” ndani yake."
}