GET /api/v0.1/hansard/entries/812404/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 812404,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/812404/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Mimi pia naungana na Maseneta wenzangu kukaribisha ujumbe huu wa Kaunti za Busia na Trans Nzoia. Kama unavyojua, sisi tuko hapa kwa ajili yao ili kuwatumikia hasa wananchi. Pia, ni vizuri waje hapa watuone vile tunavyoendesha Kikao chetu cha Seneti. Kama mnavyojua, sisi ndiyo jicho la kaunti zetu zote. Tutafanya kazi na ninyi na tutahakikisha kwamba rasilmali za kaunti zinatumiwa vizuri. Mungu awajalie, tuweze kukutana tena."
}