GET /api/v0.1/hansard/entries/812465/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 812465,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/812465/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Haji",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 26,
"legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
"slug": "yusuf-haji"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Tunahitaji kumuomba Mwenyezi Mungu awasaidie jamii ya wafugaji. Sindhani mazungumuzo katika Seneti yanaweza kutatua zile shida ambazo ziko sehemu hizo. Jana tulikuwa kule Naivasha. Kaunti kumi zinazoitwa Frontier Counties zilikuwa na mkutano wa kutengeneza bloc ya kufanya kazi pamoja. Tulionyeshwa ramani ya Kenya nzima iliyochukuliwa usiku. Tuliona kwamba sehemu zingine zote zimeunganishwa na nguvu za umeme, wakati kaunti zetu kumi ziko gizani. Haya yote yameletwa na viongozi walitutangulia wakati walipotengeneza"
}