GET /api/v0.1/hansard/entries/812472/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 812472,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/812472/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Sen. Haji ni mzee ambaye tunamheshimu sana na ni kiongozi wa jadi ambaye kila Mkenya anaamini amechangia pakubwa katika maendeleo ya nchi hii. Je, ni vyema Sen. Haji kutumia maneno ambayo yanaangazia sehemu nyeti katika hiki kikao?"
}