GET /api/v0.1/hansard/entries/812672/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 812672,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/812672/?format=api",
"text_counter": 306,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, nina kushuru kwa kunipa nafasi hii ili niwakaribishe wanafunzi na walimu wa shule ya Logorate kutoka Kaunti ya Samburu. Ningependa kuwahimiza watie bidii katika masomo yao kwa sababu sisi kama viongozi tulikuwa wanafunzi kama nyinyi. Seneta wenyu kutoka Samburu Kaunti ni shujaa. Yeye ni kiongozi ambaye anawatetea masilahi yenu hapa. Pia nyinyi lazima muweze kumfuatilia na kutazama yale ambayo anafanya. Ninajua kuna mambo mengi ambayo yanafanyika katika Samburu Kaunti. Kwa mfano, viongozi na watu wa Samburu Kaunti wanajishughulisha na town council kuwa municipality na kadhalika. Hilo ni jambo ambalo pia nyinyi mnatakiwa kuhusishwa nalo. Ningependa kuwakaribisha kabisa na mjihisi nyumbani. Feel at home . Kiswahili ni ngumu sana lakini nitajaribu kidogo, Enjuro! The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}