GET /api/v0.1/hansard/entries/81432/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 81432,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/81432/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Joho",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 30,
"legal_name": "Hassan Ali Joho",
"slug": "hassan-joho"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningependa Waziri aeleze ni mfumo gani atakaotumia hususan katika ujenzi wa hospitali katika maeneo ambayo yamekosa. Natambua eneo ninalowakilisha la Kisauni kama mojawapo wa sehemu zilizokosa, licha ya kuwa na watu wengi zaidi katika Wilaya ya Mombasa. Kisauni imewekwa kando. Kwa hivyo, ni mfumo gani ama ni kipimo kipi Waziri alitumia kufanya hivyo. Atafanya nini kurekebisha hali hiyo na kuhakikisha kwamba wale Wakenya wanaoishi maeneo hayo pia wanastahili kupata hio huduma?"
}