GET /api/v0.1/hansard/entries/814337/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 814337,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/814337/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Ukiyasema haya mambo ya ardhi, watu huinua macho mpaka unaonekana saa nyingine wewe ni mbaya. Kuna ile cartel ambayo inangojea utaje mambo ya shamba. Mhe. Ruweida akizungumza mambo ya ardhi leo, watu wengine watatuma ujumbe waseme miaka mitano. Hii ni kwa sababu mtu amepata asilimia 10 na anasema unapinga mradi na kuchochea wananchi lakini unawatetea. Sisi tumeletwa hapa kutetea watu. Ukiitwa uende, wengine wanasema unapinga mradi. Watu wanataka miradi lakini usawa ufanyike."
}