GET /api/v0.1/hansard/entries/81438/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 81438,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/81438/?format=api",
    "text_counter": 151,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kenyatta",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 168,
        "legal_name": "Uhuru Muigai Kenyatta",
        "slug": "uhuru-kenyatta"
    },
    "content": "Nashukuru. Tuna mipango ya kuhakikisha kwamba tumejenga hospitali kubwa katika miji yetu mikubwa ili huo mpango ukiingia uwe wa kufaidi miji mikubwa kama Mombasa, Nairobi, Kisumu na kwingineko. Kwa hivyo, huu mradi ulikuwa wa kusaidia kwa kujenga hospitali katika maeneo ya mashinani. Huo ndio utaratibu ambao tulitumia."
}