GET /api/v0.1/hansard/entries/81439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 81439,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/81439/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Joho",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 30,
"legal_name": "Hassan Ali Joho",
"slug": "hassan-joho"
},
"content": "Jambo la nidhamu. Ningependa kumfahamisha Waziri kama hajui, achukue muda atembelee eneo la Kisauni. Robo ya Kisauni iko katika mji wa Mombasa. Asilimia kubwa iko katika mashinani, ambako ni mashambani zaidi kuliko hata kwingine. Kama hajui, kuna mahali kunaitwa Mwakirunge, Kashani na Bombo ambako ni mbali sana na ni mashambani. Kwa hivyo, ningependa kujua kama anaweza kuhakikisha kuwa watu wa mashinani huko Kisauni wanapata hii hospitali."
}