GET /api/v0.1/hansard/entries/81440/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 81440,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/81440/?format=api",
"text_counter": 153,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kenyatta",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 168,
"legal_name": "Uhuru Muigai Kenyatta",
"slug": "uhuru-kenyatta"
},
"content": "Nataka kumhakikishia Mbunge wa Kisauni kwamba tutahakikisha tumetembea katika eneo ambalo ametaja tukiwa pamoja na Waziri ambaye anahusika na jambo hilo. Tutahakikisha kwamba tutakuwa na mradi kama huu katika eneo la Kisauni."
}