GET /api/v0.1/hansard/entries/814541/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 814541,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/814541/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Seneta",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 611,
"legal_name": "Mary Yiane Senata",
"slug": "mary-yiane-senata"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nina kushukuru kwa kunipa nafasi ya kuchangia mjadala huu. Inanishangaza kwamba bado tunaweza kutumia wakati muhimu sana kujadili ama kuzungumzia majukumu ya Seneti na Bunge la Kitaifa. Yashangaza kwa sababu wananchi wa nchi hii walipiga kura na kupitisha Katiba kwa sababu walitaka kupata ugatuzi ili wajisimamie na kuona maendeleo katika kaunti zao. Kwa hivyo, ni jambo la kushangaza kwamba bado kuna wenzetu katika Bunge la Kitaifa ambao The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}