GET /api/v0.1/hansard/entries/814543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 814543,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/814543/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "hawaelewi majukumu ya Seneti. Ningewaomba wajaribu kutumia nafasi hii kuwasaidiaWakenya. Leo hii tunashida nyingi sana katika nchi ya Kenya. Tuko na shida ya maji katika sehemu nyingi za miji yetu ikiwemo Kaunti ya Nairobi. Vile vile, tuko na shida ya mabarabara, hosipitali na hata ufisadi ambao umekithiri katika kila sekta. Badala ya Wabunge wenzangu kuzungumzia vile tutatatua shida ambazo zinawakumba Wakenya, bado tunamabishano kati ya Seneti na Bunge la Kitaifa. Nilishtuka sana kumuona mmoja wa Wabunge wa Kitaifa ambaye ni rafiki yangu anayeitwa mhe. Junet - ambaye kazi yake mara nyingi ni kusema tu: “B aba baba ” haelewi majukumu yake kama Mbunge."
}