GET /api/v0.1/hansard/entries/814562/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 814562,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/814562/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa fursa hii ili kuchangia Hoja ya Kiongozi wa Wengi katika Seneti kuhusiana na majukumu ya Seneti. Kwanza, ningependa kumkosoa ndugu yangu kutoka Kaunti ya Homa Bay aliposema kwamba niko na mabibi zaidi ya watatu. Huo sio ukweli, kwa sababu hadi sasa, niko na wake wawili peke yao na bado nitaendelea kutafuta."
}