GET /api/v0.1/hansard/entries/814564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 814564,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/814564/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Jambo la pili, Mheshimiwa Naibu Spika, Waswahili wamesema: “Kelele za chura hazimzui ng’ombe kunywa maji;” na “debe tupu haliachi kuvuma;” na wakasema pia “nazi mbovu harabu ya nzima.” Kwa hivyo kutokana na vitendo vya Bunge la Kitaifa, tumeona kwamba yao ni lile nazi mbovu, linalotaka kuharibia nazi nzima. Hilo ni jambo ambalo sisi, kama Seneti, hatutalikubali kwa sababu sote tumeundwa na Katiba moja na hakuna mwenye mamlaka juu ya mwengine. Sote The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}