GET /api/v0.1/hansard/entries/816760/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 816760,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/816760/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Magarini, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Michael Kingi",
    "speaker": {
        "id": 13412,
        "legal_name": "Michael Thoyah Kingi",
        "slug": "michael-thoyah-kingi"
    },
    "content": "Tanzania saa hii imebobea upande wa ukuzaji korosho. Ni nchi ambayo hapo nyuma ilikuwa inakuza korosho kwa uchache. Hata hivyo, kwa sababu Kenya imelegea katika ile wizara husika ya ukulima, haijaona kwamba ni muhimu kupatia nafasi mkorosho. Ndio unaona saa hii Tanzania imetupita lakini kama wizara ya ukulima itaweka mkazo katika sekta hii ama katika ukulima wa mkorosho, mimi ninaamini kwamba zaidi ya bilioni moja itatoka kutoka sekta hii."
}