GET /api/v0.1/hansard/entries/816764/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 816764,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/816764/?format=api",
"text_counter": 287,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Itakumbukwa ni juzi tu pale Kilifi tukiwa na Mheshimiwa Aisha Jumwa, ambaye alizungumzia sana kuhusu mambo haya katika Karisa Maitha Stadium na maneno kama haya tumeyaunga mkono kutoka nyanjani hadi hapa. Tukiwa Bungeni tunaendelea kuyaunga mkono. Kwa hivyo, jambo kama hili la korosho…"
}