GET /api/v0.1/hansard/entries/816769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 816769,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/816769/?format=api",
"text_counter": 292,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kiwanda hiki kitabuni nafasi za kazi. Kule ambapo tunatoka sehemu ya Kilifi, Pwani na Kenya nzima kwa ujumla. Viwanda hivi vimesomesha watoto wetu na kukuza jamii bila shida yoyote. Hivi sasa, kuna shughuli nyingi ambazo zinatukumba na moja yapo ni njaa. Ukizungumzia kuhusu njaa katika taifa hili, utakuta kwamba Kaunti ya Kilifi haiwezi kuachwa nyuma. Kwa hivyo, mimi nina imani kwamba kiwanda hiki kikirudi, nafasi za kazi zitabuniwa, tutapata nafasi za kuajiri watu wetu, kusomesha watoto wetu na kuwalisha bila kuwa na shida za utapia mlo katika taifa letu la Kenya."
}