GET /api/v0.1/hansard/entries/816770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 816770,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/816770/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nikimalizia, ninataka kusema kwamba wakulima zaidi ya 50,000 katika kanda la Pwani na Kenya wameathirika pakubwa. Urudishaji ama kuanzwa tena upya kwa kiwanda cha korosho katika sehemu hii yetu ya pwani hasa Kaunti ya Kilifi, kutabuni nafasi za kazi kuanzia 4,000 hadi 50,000. Tukiangalia suala la kiwanda, iwe basi ni mchakato mzima kutoka upandaji, ukuzaji na pia katika hali za kuliboresha zao hilo la mkorosho. Muda wangu haujaisha."
}