GET /api/v0.1/hansard/entries/816779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 816779,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/816779/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kinango, ODM",
"speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
"speaker": {
"id": 13379,
"legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
"slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
},
"content": "Ningependa kuunga mkono Hoja hii. Katika usambazaji, tusiangalie Kilifi peke yake. Wale wakulima wa kwale pia wanakuza korosho nyingi sana. Baada ya Kilifi, Kwale ni wakuzaji wakubwa wa korosho Kenya nzima. Lazima tuhakikishe kwamba tumejenga kiwanda upande wa Kwale. Tukisema kwamba ni lazima tusafirishe korosho mpaka Kilifi peke yake, haitakuwa imesaidia mkaazi wa Pwani. Kwa hivyo, mimi ninaunga mkono Hoja hii."
}