GET /api/v0.1/hansard/entries/817860/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 817860,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817860/?format=api",
"text_counter": 440,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii kuhusu elimu katika eneo la Kaskazini Mashariki. Kwanza nampa kongole Senata wa Wajir, Sen. (Dr.) Ali, kwa kuleta Hoja hii katika Seneti. Huu ni wakati mwafaka wa kujadili hali ya elimu katika sehemu hiyo. Hali ya elimu katika sehemu ya Kaskazini The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}