GET /api/v0.1/hansard/entries/817870/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 817870,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817870/?format=api",
"text_counter": 450,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "yao ya dini kwa ukamilifu zaidi lakini hawasomi masomo ya kawaida kikamilifu. Sababu ni kwamba wana tofautiana kitamaduni na walimu wanaowafundisha. Bi. Spika wa Muda, jambo la mwisho ambalo ningependa kuchangia ni kwamba Serikali ifanye mipango zaidi ya kupeleka maendeleo katika sehemu hizi ambazo zimeathirika. Tumeona kwamba zile fedha zinazotengwa katika sehemu zile, kwa mfano"
}