GET /api/v0.1/hansard/entries/817872/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 817872,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817872/?format=api",
"text_counter": 452,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "na zinginezo, hazitoshi kuhakikisha kwamba maendeleo yanaenda katika sehemu zile. Kwa hivyo, tuhakikishe ya kwamba Serikali inapeleka miradi mingi ya maendeleo katika sehemu zile. Serikali ipeleke maji, shule na umeme kuhakikisha kwamba, sehemu zile ambazo zimetengwa na ziko mbali na Nairobi, wanapata huduma kama ile inayopatikana jijini Nairobi. Ikifanyika hivyo, watu wengi watakuwa na hamu na ari ya kuenda kufanya kazi katika sehemu zile. Hili tatizo la elimu na matatizo mengine ya biashara yataisha katika maeneo kama yale. Bi. Spika wa Muda, nina kushukuru kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii kuhusu elimu katika eneo la North Eastern . Asante."
}