GET /api/v0.1/hansard/entries/817952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 817952,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817952/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Ms.) Soipan Tuya): Sijui kama hilo lililosemwa ni ukweli, Mheshimiwa, eti kwamba wewe husafiri tu kwa Fly 540. Lakini hata ukisafiri kwa basi unaweza pia kununua korosho na hamna shida ya kusafiri na Fly 540. Tutaenda kwa upande huu. Mheshimiwa Tecla Tum kutoka Nandi."
}