GET /api/v0.1/hansard/entries/817966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 817966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817966/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kihistoria ni kwamba Mwenyezi Mungu hakubagua watu wa Pwani. Wakati aliwawezesha wenzetu huku bara kuwa na mzao wa kahawa na majani chai, kule Pwani waliweza kuweka mazao haya ya korosho na minazi. La kushangaza ni kwamba kihistoria, wakati mazao ya kahawa na majani chai yaliwekewa mabodi mbalimbali, kahawa ilipata CoffeeBoard of Kenya na Coffee Research Foundation. Mazao haya ya Pwani hayakupewa bodi kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}