GET /api/v0.1/hansard/entries/817970/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 817970,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817970/?format=api",
"text_counter": 84,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Pia sio tu korosho kama wenzangu walivyotanguliza. Kuna mimea mingi katika eneo la Pwani ambayo kama ingeshughulikiwa ingechangia kiasi kikubwa katika hali nzima ya uchumi wa Kenya. Kwa mfano kuna zao moja la mrangi. Tunauita mrangi kwa Kiswahili lakini kwa kimombo ni bixa . Hili pia linapatikana katika maeneo yote ya Pwani na lina thamani mno. Kiwanda chake ni kimoja ambacho kiko katika Eneo Bunge langu la Matuga. Pia nacho kimefifia."
}