GET /api/v0.1/hansard/entries/817978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 817978,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817978/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Hon. (Ms.) Soipan Tuya): Sawa Mheshimiwa. Kabla hatujaendelea, ningependa kuwatambua wanafunzi ambao wako pamoja nasi. Tuna wanafunzi kutoka Shule ya Msingi ya Munaine kutoka Eneo Bunge la Othaya, Kaunti ya Nyeri. Pia tuko na wanafunzi kutoka Shule ya Msingi ya Goshen kutoka Eneo Bunge la Mbeere Kaskazini, Kaunti ya Embu, na wanafunzi kutoka Shule ya Msingi ya Manguli kutoka Eneo Bunge la Masinga, Kaunti ya Machakos. Karibuni. Mheshimiwa Mbunge wa Kangema, Mhe. Muturi."
}