GET /api/v0.1/hansard/entries/820228/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 820228,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/820228/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "speech",
"speaker_name": "Cherangany, JP",
"speaker_title": "Hon. Joshua Kutuny",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Swali kuu ni: Kenya ni upande upi? Mbona wananchi wanyonge wanakandamizwa? Mimi nilifanya siasa. Nilikuwa katika Bunge la Kumi na tulizungumzia suala hili. Nataka kusema ya kwamba kitumbua cha Raila kiliingia mchanga aliposhika suala hili la Mau. Nataka kueleza Serikali hii kwamba kimo chao kitakuwa motoni wasiposhughulikia suala la Mau kwa namna ambayo itapendeza. Kile ambacho tunataka kusema ni kwamba hatupingi mazingira The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}